Hadithi April 23, 2025Nyumba Juu Ya Kaburi (Sehemu Ya Kwanza – 01) Ilikua ni ndoto ya Baba yangu, siku moja akistaafu angenunua nyumba nzuri ya kuishi, wazo hili lilitupatia tabasamu katika nyakati zake za mwisho kazini. Alifundisha shule…