Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Ligi kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) imeendelea kushika hatamu na rekodi mblimbali zikiendelea kuwekwa katika ligi hiyo. Mpaka sasa anayeongoza ligi ni Azam Fc akiwa…
Wakufunzi Watano Wanaoweza Kuchukua Nafasi ya Erik ten Hag kama Kocha Mkuu wa Manchester United Endapo kocha huyo ataondoka. Zinedine Zidane Kocha wa zamani wa Real…
EUROPE: UEFA Champions League 19:45 Lens – Sevilla 🇪🇸 19:45 PSV – Arsenal 22:00 Copenhagen – Galatasaray 22:00 Inter – Real Sociedad 22:00 Manchester Utd -…
Anthony Martial ataruhusiwa kuondoka Manchester United bure mwishoni mwa msimu, kulingana na habari zilizopo kwenye talkSPORT. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ana chaguo kwenye…
Mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen aliyetajwa kuwa mchezaji bora wa soka wa Kiafrika wa mwaka. Osimhen, ambaye ni mshambuliaji wa Napoli ya Italia, alitangazwa mshindi wa…
Mkurugenzi wa Soka nchini Uturuki wamezuia mashindano yote baada ya mwamuzi kupigwa na rais wa klabu. Tukio hili limetokea baada ya mechi ya ligi kuu ambapo…
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria na klabu ya Napoli Victor Osimhen ameibuka kuwa mchezaji bora wa bara la Afrika mwaka 2023. Osimhen ameshinda nafasi…
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limetangaza washindi wa vipengele mbalimbali vya Tuzo za msimu wa mwaka 2023 zikihusisha vilabu na timu za Taifa…
Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limetangaza rasmi tarehe ya kuanza kwa mashindano ya kombe la dunia ka upande wa klabu (FIFA CLUB WORLD CUP)…
Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kuwataka klabu ya Yanga kugharamia uharibifu uliofanyika uwanja…