Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
VAR, ambayo inasimama kwa Video Assistant Referee, ilitambulishwa katika mchezo wa soka ili kusaidia waamuzi kufanya maamuzi sahihi zaidi wakati wa mechi. Ilitolewa rasmi katika soka…
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samata, ameendelea kuandika historia mpya katika ulimwengu wa soka baada ya klabu yake ya PAOK kutoka ligi kuu…
Kamati huru ya Kitaaluma imeridhia kuwa mashtaka dhidi ya Mikel Arteta kwa kukiuka sheria ya FA E3.1 hayajathibitishwa. Meneja huyo alishtakiwa baada ya kutoa maoni mbalimbali…
Kikosi cha Medeama ya Ghana kinatarajiwa kuja nchini Jumapili Desemba 17 kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa raundi ya nne wa Ligi ya Mabingwa Afrika…
Michuano ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC) raundi ya pili msimu wa 2023/2024 imeendelea kwa michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali na matokeo kuweza kuchezwa.…
Mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliowakutanisha klabu ya Azam kutoka Tanzania pamoja na Al Hilal kutoka Sudan umemalizika kwa klabu hizo kutoka sare ya kufungana goli…
Wakazi wa Mkoa wa Iringa na maeneo jirani wamehimizwa kujitokeza kushiriki mbio za RUAHA GREAT MARATHON zitakazofanyika Disemba 16, 2023 kwenye viwanja vya Samora mjini Iringa.…
Kuelekea hamasa za mchezo wa makundi klabu bingwa barani Afrika utakaowakutanisha klabu ya Simba dhidi ya Wydad kutoka Morocco Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya…
Klabu ya soka ya Simba imetangaza rasmi viingilio vya mchezo utakaowakutanisha Simba dhidi ya Wydad katika dimba la Benjamin Mkapa tarehe 19. Taarifa hiyo kutoka kwa…
Mechi za raundi ya 16 ya UEFA Champions League, Zitafanyika wapi, lini, na nani watahusika? Raundi hiyo itafanyika lini? Timu zipi zitashiriki? Mipambano itakuwa lini? Yote…