Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
La Liga msimu wa 2023-24 unaendelea Deportivo Alaves vs Real Madrid katika mtanange muhimu utakaochezwa Estadio Mendizorroza. Uchambuzi wa Deportivo Alaves vs Real Madrid Real Madrid…
Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Norway ‘Eliteserien’, Amahl Pellegrino anayekipiga Bodo/Glimt ni miongoni mwa wachezaji 53 walioitwa na Kocha Adel Amrouche katika kikosi cha awali cha…
Mchezo wa kutafuta nafasi ya tatu katika Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA unawaleta pamoja Urawa Reds vs Al-Ahly. Hakuna kati ya timu hizi mbili…
Mchezo wa Premier League unarejea tena na michezo mingine wiki hii huku Sheffield United vs Aston Villa katika mtanange muhimu utakaofanyika Villa Park. Uchambuzi wa Aston…
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wa klabu umewasimamisha wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chota Chama kutokana na vitendo vya Utovu wa nidhamu.…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa Ali Hasan Mwinyi ulioko Tabora kutumika katika mechi za ligi baada ya kukidhi vigezo vya kikanuni…
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imeanza rasmi huku mabingwa watetezi, JKT Queens na washindani wao wa karibu, Simba Queens wakianza kwa kugawa dozi nzito. Timu…
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche ameteua wachezaji 53 kwa ajili ya kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa…
La Liga inaendelea tena Mallorca vs Osasuna wenye ufanisi katika mtanange muhimu utakaochezwa kwenye Uwanja wa Iberostar. Uchambuzi Mallorca vs Osasuna Osasuna kwa sasa wako nafasi…
La Liga wa msimu wa 2023-24 unarejea tena wiki hii huku Real Betis vs Girona imara katika mechi muhimu Uwanja wa Estadio Benito Villamarin. Real Betis…