Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Ligi ya NBC inaendelea leo, Katika mechi za hivi karibuni kati ya Kinondoni MC vs Simba SC, timu hizi zimecheza jumla ya mechi 10. Kinondoni MC…
Ligi Kuu England inarejea tena mechi mwishoni mwa wiki hii wakati West Ham United vs Manchester United mtanange muhimu katika Uwanja wa London West Ham United…
Klabu ya soka ya Kagera Sugar kutoka mkoani Kagera imetangaza rasmi kuachana na Kocha Mkuu Meck Maxime pamoja na kocha wa viungo Francis Mkanula. Kupitia taarifa…
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imepokea taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya kuufungia uwanja wa Uhuru kutotumiwa katika michezo inayoendelea…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeahirisha michezo saba ya Ligi Kuu ya NBC ili kupisha mchezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)…
BAADA ya kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliochezwa Desemba 20, Medeama ya Ghana…
Baada mahakama ya usuluhishi barani Ulaya kuja na taarifa kuhusu European Super League ni michuano halali hivyo inaweza kuendelea kama ilivyopangwa klabu mbalimbali zimetoka hadharani kupinga…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Uhuru , Dar Es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na…
Wakati wa kuandaa mkeka mara nyingi baadhi ya watu hushindwa kuelewa kati ya Over 1.5 na Over 2 na hujikuta wakiweka ubashiri bila ya kuelewa wanachagua…
Mchezo wa Manchester City vs Fluminense utashuhudiwa kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA la 20, Ijumaa Uwanja wa Michezo wa King Abdullah.…