Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Ilipoishia “Basi Maisha ndani ya Gereza yaliendelea, siku moja baada ya kazi ilikuwa ni majira ya saa 7 Mchana, ulikuwa ni muda wa kupata Chakula. Tulikuwa…
Katika ulimwengu wa soka, mbinu za uchezaji zinaendelea kubadilika na kujiimarisha. Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids, wamefanikiwa kuingia katika anga za…
Ilipoishia “Ingia kwenye gari” ilikuwa kama ndoto vile, nilifungua mlango wa gari ili niingie kwenye gari. Kabla hata sijaingia nilihisi uzito kwenye mgongo wangu alafu nilipata…
Ilipoishia “Haraka nikiwa nimevalia pensi na tisheti nilielekea huko, kweli niliona Kijiwe cha Watu watatu hivi ambao baada ya kuniona Mimi walikaa tayari, nilitoa ishara ya…
Ilipoishia “Sikujuwa hata mtandio wangu niliudondoshea wapi, nilikuwa kama Chizi maana wakati nalia nilitimua sana nywele zangu. Nilikaa hapo kama Bubu, niliwaza sana hadi kichwa kiliacha …
Ilipoishia “Japo mambo yale yalikuwa mageni kwangu na yenye kuniumiza ila yalinifundisha vitu vingi sana ambavyo hata kama ningesoma hadi ngazi ya digrii nisingeliweza kujifunza. Usingizi …
Ilipoishia “Najuwa unaumia Jojo ila utazoea tu sababu hata Mimi nilikuwa kama wewe siku ya kwanza naanza kazi, nilikuwa mnyonge, sikuzoea kuvaa hivi ila ilinibidi nikubali…
Kwenye soka imezoeleka kuwa kila mchezaji ana nafasi yake anayoimudu vyema lakini huwa inatokea mara chache kuona Mchezaji wa ndani anakuwa kipa. Ndio yaani yule labda…
Ilipoishia “Tulienda moja kwa moja anapoishi Shonaa akaniambia kesho yake atanipeleka kwa huyo Bosi, nilikuwa nimechoka hivyo sikuwa na maswali mengi zaidi ya kuhitaji Kupumzika tu,…
Chozi lilikuwa likinimwagika, nilikuwa nikimuaga Mama yangu kwa mara ya Mwisho Mkoani Tabora. “Mama! Umeniacha Mama yangu, nimebaki mwenyewe” Nilisema kwa sauti iliyowaumiza wengi, alikuja Mama…