Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Zikiwa zimebakia wiki kadhaa kwa ajili ya michuano ya AFCON itakayofanyika nchini Ivory Coast tayari zipo baadhi ya nchi ambazo zimekwishataja vikosi vya wachezaji 22 watakaoenda…
Kwa kuanza kabisa tuutazame mchezo unaowakutanisha Liverpool vs Newcastle utakaopigwa katika dimba la Anfield katika jiji la Liverpool. Huu ni moja kati ya mchezo ambao bila…
Klabu ya soka ya Azam wameufunga mwaka rasmi kwa kutangaza kufikia makubaliano na klabu ya El Mereikh kwa ajili ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa…
Hii leo katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza Tottenham Hotspur atakua na kibarua dhidi ya Bournemouth mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Tottenham. Mchezo huu unawakutanisha…
Karibu sana tutazame uchambuzi na vidokezo vya ubashiri katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza hii leo utakaowakutanisha Fulham dhidi ya Arsenal mchezo utakaopigwa katika dimba…
Serie A inarejea tena wiki hii na seti nyingine ya mechi huku Genoa vs Inter Milan katika mechi muhimu itakayofanyika kwenye Uwanja wa Stadio Luigi Ferraris.…
Napoli vs Monza wanatarajiwa kucheza katika uwanja wa Stadio Diego Armando Maradona siku ya Ijumaa katika Serie A. Napoli wanakujia katika mchezo huu baada ya kupoteza…
Ligi Kuu ya NBC imesimama kwa takribani wiki tatu kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza leo Visiwani Zanzibar. Wakati Ligi ikiwa imesimama tayari klabu ya…
Kila mtu ana namna yake ya kuweka mkeka wake wa uhakika lakini hii leo tutazame option ambazo zitakupa pesa chap kwenye mkeka wako lakini kumbuka kuwa…
Mechi ya Arsenal vs West Ham United itakuwa burudani ya kusisimua kwenye ligi kuu ya Uingereza mnamo tarehe 28 Desemba 2023. Takwimu za West Ham United…