Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Odds za Money Line (pia huitwa Odds za Pesa) ni njia nyingine ya kuelewa jinsi ubashiri unavyofanya kazi katika michezo, kama vile mechi ya Simba na…
Kufahamu jinsi odds zinavyofanya kazi katika michezo ya kubeti kama vile Simba na Yanga ni muhimu kwa kuelewa jinsi unavyoweza kubashiri na jinsi unavyoweza kutabiri matokeo…
AFCON, “Kombe la Mataifa ya Afrika,” ni mashindano ya kandanda ya bara la Afrika ambayo hufanyika kila baada ya miaka miwili. Hapa ni historia fupi ya…
Msimu huu wa AFCON 2023 utakaofanyika nchini Ivory Coast shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF likiungana na kampuni ya vifaa vya michezo ya PUMA…
Tarehe 13/01/2024 bila shaka ni siku inayosubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa soka barani Afrika kwa lengo kubwa la kutazama timu zao za Taifa…
Wigan Athletic vs Manchester United, Timu ya League One ya Wigan Athletic itajaribu kufanya vizuri wanapowakaribisha Manchester United kwenye uwanja wa DW Stadium. Wigan Athletic wanaweza…
Zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya kuanza kwa michuano ya AFCON nchini Ivory Coast tayari vikosi vitakavyowakilisha nchi zilizofuzu vimekwishatangazwa na moja ya kikosi kilichotangazwa ni…
Baada ya kuchukua ubingwa wa dunia ngazi ya vilabu klabu ya Man City walirejea na ushindi ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Everton na Sheff Utd…
Wakiwa nyumbani msimu huu klabu ya Arsenal katika mechi 5 za mwisho wamepoteza mchezo mmoja pekee dhidi ya West Ham kwa mabao 2:0 huku wakishinda michezo…
Hii ni orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania (Stars) kwenye mashindano ya AFCON imetoka huku baadhi ya wachezaji ambao walikuwemo kwenye orodha…