Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Kuna wakati unaweza kujiuliza hivi mashabiki wanataka nini?Maana kila mmoja huwa na kauli zake endapo kutakua ni kipindi kuhusu jambo Fulani. Ukitazama kwasasa macho na masikio…
Huku Kundi B AFCON 2024 ikiendelea huko Abidjan, wapenzi wa soka wanajiandaa kwa mechi ya kusisimua ya Egypt vs Ghana. Hii itakuwa mara ya tano kwa…
Kutokana na takwimu, historia na utendaji wa timu za Cape Verde na Mozambique katika AFCON, pamoja na maelezo muhimu juu ya michezo yao ya hivi karibuni;…
Tutazamie Mchezo wa Kundi D Kati ya DR Congo vs Zambia uliopigwa Jana katika Mashindano ya CAF Africa Cup of Nations. Mwanzo Dhaifu kwa DR Congo…
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na idadi kubwa ya wachezaji ambao wamekua wakijitokeza na kusema kuwa wana asili ya Tanzania na hivyo kuomba uraia ili…
Inakutana Equatorial Guinea vs Guinea Bissau katika mchuano muhimu Uwanja wa Alassane Ouattara wakati wa CAF Africa Cup of Nations Côte d’Ivoire 2023. Djurtus, baada ya…
Nitakuwa tofauti na wengi wanavyoweza kufikiri kwenye hili na hii ni kutokana na kila mtu anavyoweza kutazama haswa kuhusiana na safari ya Jean Baleke na klabu…
Hamu na shauku kubwa ambayo watanzania wengi walikua nayo katika michuano ya mataifa barani Afrika bila shaka ilikua kuitazama timu yao yaani Taifa Stars ambao walikua…
Edwin Balua amejiunga Simba kutoka Tanzania Prisons, huu ni usajili wa mchezaji wa kizawa ambaye anakuwa wa tatu baada ya Karabaka na Chasambu. Usajili huu unakuja…
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini Lionel Messi abebe Tuzo hiyo na sio Haaland ikiwa walilingana kura? Lionel Messi alitwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwanaume wa…