Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Mechi kubwa kabisa hii leo katika Ligi Kuu nchini Uingereza ni pale majogoo wa jiji na vinara wa ligi hiyo Liverpool akiwakaribisha Chelsea katika dimba la…
Ni miaka 27 pale ambapo mwana mama Adele Onana alipomleta duniani kijana wao ndani ya mji wa Nkol Ngok ndani ya kabila la Yaounde Fang linalopatikana…
Michuano ya mataifa barani Afrika msimu huu imekua na mambo mengi ya kustaajabisha haswa kutokana na matokeo yaliyokua yakitokea lakini pia na maamuzi ya waamuzi katika…
Baada ya hatua ya 16 bora michuano ya kombe la mataifa barani Afrika kukamilika ni rasmi sasa presha na joto linazidi kupanda zaidi la michuano hii…
Mambo vipi mwekezaji?Karibu sana tuifunge January kwa kuuchungulia mkeka wa leo Jumatano huu tuliouandaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 100. Kumbuka ni michezo kutoka ligi…
Hekaheka za ligi kuu ya Uingereza zinaendelea tena kwa klabu ya Nottingham Forest kumkaribisha Arsenal katika uwanja wa Ground City mchezo wa raundi ya 22 ambapo…
Baada ya kutolewa kwa timu ya taifa ya Senegal na wenyeji Ivory Coast kwa sasa timu ya taifa ya Morocco inapewa chapuo kubwa la kuwa mabingwa…
Huu ni miongoni mwa ile michezo ambayo itaangaliwa na mashabiki wengi wa soka hapa Tanzania haswa wapenzi na wanachama wa klabu ya Yanga kutokana na kuwa…
Wiki moja iliyopita ilionekana kana kwamba Ivory Coast wangefungasha virago katika hatua ya makundi katika michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) inayochezwa nchini mwao, lakini sasa…
Mambo vipi mwekezaji?Karibu sana tutazame namna ambavyo tunaiendeleza January kwa kuuchungulia mkeka huu tuliouandaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 100. Kumbuka ni michezo kutoka ligi…