Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Siyo kero linapotajwa jina la mchezaji Clatous Chota Chama kwa wana michezo, lazima ulitaje pindi michuano ya kimaitafa hususani Ligi ya mabingwa inapokaribia, kilichofanywa na mchezaji…
Tunaianza wiki na mkeka wa leo Jumatatu wenye timu chache na odds kibao kutoka Kijiweni wenye timu za ligi mbalimbali duniani kutoka Hispania na Uingereza. Kumbuka…
Achilia mbali umbo lake alilonalo na angalia namba ya jezi yake mgongoni kisha soma jina lake vizuri, anaitwa Awesu Awesu, fundi mmoja wa mpira kusema ukweli…
Kazi ya mpira ngumu siyo rahisi kama kuutazama kwenye kideo au unakamata karatasi lako na kubeti, ni ngumu sana pengine niwakumbushe hilo. Nilisikitika nipoona baadhi ya…
Karibu sana kwenye mkeka wa hii leo Jumapili wenye odds zaidi ya 400 na timu zaidi ya 18 kutoka ligi mbalimbali duniani zile zinazofahamika. Kumbuka kuupitia…
Baada ya mchezo wa kiporo wa Group D ambapo kutoka Tanzania mwakilishi wake ni Yanga ni wazi kuwa kundi limekaa kimtego na yeyote anaweza kufuzu kwenda…
Wikiendi si ndo hii hapa? Karibu sana kwenye mkeka wa leo wenye timu nyingi na odds nyingi zaidi ambapo ni kutoka ligi mbalimbali duniani bila kusahau…
Wakati wenzetu wakiendelea kukua katika soka haswa kimataifa , Ligi Kuu ya Tanzania imekua ikiendelea kuwa na matukio ya hovyo ambayo yamekua yakionesha namna gani timu…
Kesi ya washambuliaji kwa sasa ni jambo gumu linaloisumbua dunia ya mpira, zamani ilikuwa rahisi kuwapata wapachikaji wa mabao lakini siku zinavyozidi kusonga imeongeza ugumu zaidi…
Hii leo ni wazi kuwa klabu ya Yanga watakua wakiutazama kwa karibu kabisa mchezo wa CR Belouizdad vs Al Ahly ili kuona kama ndoto yao ya…