Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Ilipoishia ” “Muda siyo mrefu nitamnasa Muuwaji, mtakua huru lakini msirudie kuficha mambo mazito kama haya” akawapa tumaini na kuwaacha hapo Mahabusu wakiwa wanafuraha wakijua muda…
Matumizi ya Nafasi yameamua Dakika 90 za Kasi na Ufundi kwa Timu zote mbili. Azam wakitumia zaidi pembeni huku Simba wakitumia Katikati na upande wa kushoto…
Ilipoishia “Akamzaa Adela, akafanya siri kubwa sana mbele ya Baba yake kuhusu Baba wa Mtoto huyo, akamwambia Baba yake kuwa Baba yake Adela yupo nje ya…
Ilipoishia “Najua kila Mtu atanipa jina analoona linanifaa lakini hakuna kati yenu ambaye angeliweza kustahimili nitakacho waeleza. Atakaye niita Muuwaji ni sawa kwasababu nastahili kuitwa hivyo”…
Tuko katika kipindi ambacho ligi mbalimbali duniani zinaelekea ukingoni huku zipo ligi ambazo mabingwa tayari wamekwishajulikana lakini zipo ligi ambazo mabingwa bado hawajajulikana na ndio kipindi…
Ilipoishia “ “Geuka taratibu mikono ikiwa juu” akapaza sauti Marcus huku akiamini moja kwa moja kua huyo Mtu si Mzuri ndiyo maana alikua akipekua kwenye Majokofu…
Ilipoishia ” Dakika saba pekee zilitosha kwa Marcus kupata mahali pa kuanza Uchunguzi wake, walitolewa vijana hao wakiwa wamevimba sehemu mbalimbali za Miili yao.” Tuendelee Sasa …
Ilipoishia ” Mkuu wake akakaa kimya kwa sekunde zisizodi thelathini kisha akalikubali ombi la Marcus, Sasa Kesi inaanza Upya ” Tuendelee SEHEMU YA 09 Ulikua Usiku…
Yule Msichana wala hakua na hofu, alirudi nyuma ili kumpa nafasi Marcus atoke kwenye kile choo, Bastola ilidondokea kwenye choo kingine kwa chini hivyo hakuna hata…
Pamba Jiji Football Club kurejea kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya Miaka 23 ni fursa kubwa sana katika sehemu tofauti ndani ya Jiji la…