Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp, amepewa adhabu ya mechi mbili kwa kauli alizotoa kuhusu refa Paul Tierney baada ya ushindi wa 4-3 dhidi ya Tottenham mwezi…
Taarifa za kiungo mshambuliaji, Hassan Dilunga kuhusishwa kwenye usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na JKT Tanzania huenda mambo yakabadilika kwani mchezaji huyo anaweza…
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh20 milioni kwa kila bao la ushindi kwa timu ya Yanga ambayo imetinga fainali za kombe la Shirikisho jana Jumatano…
HISTORIA Imeandikwa!. Ndivyo unaweza kusema baada ya klabu ya Yanga kuingia fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza ikiwa ugenini katika Uwanja wa…
Klabu ya Simba imeanza harakati za kuimarisha kikosi chake na miongoni mwa nyota wanaotajwa kuwa katika mpango wa kuwanasa ni winga wa Geita Gold, Edmund John…
Beki wa Chelsea, Magdalena Eriksson, ataiacha klabu mwishoni mwa msimu huu wakati mkataba wake utakapomalizika baada ya miaka sita jijini London. Eriksson, mwenye umri wa…
Man City imesonga mbele hadi fainali baada ya kuwashinda Real Madrid kwa mabao 4-0 katika mchezo wa pili wa nusu fainali, wakihakikisha ushindi wa jumla wa…
Manchester City na Real Madrid watakutana katika raundi ya pili ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumatano saa 3 usiku (saa za Uingereza)…
Wachezaji wa Young Africans (Yanga) wamesema hakuna kitu kitawazuia kuondoa Marumo Gallants katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF Jumatano hii. Timu hizo mbili…
Gary Neville anaamini kuwa sare za Arsenal dhidi ya Southampton na West Ham zilikuwa matokeo yaliyoharibu ndoto yao ya ubingwa baada ya kichapo cha 3-0 dhidi…