Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
USM Alger wamekuwa washindi wa kwanza kutoka Algeria wa Kombe la Shirikisho la CAF licha ya kupoteza 1-0 nyumbani dhidi ya klabu ya Kitanzania Young Africans…
Ahly Yaongoza Dhidi ya Wydad katika Fainali ya CAFCL ya Mzunguko wa Kwanza Al Ahly imechukua uongozi mkubwa wa 2-1 katika mzunguko wa kwanza wa nusu…
Msafara wa wachezaji, viongozi wa serikali na wa klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) pamoja na baadhi ya mashabiki umewasili salama nchini Algeria tayari kwa…
Ni rahisi kusema Simba wamezidiwa tena ujanja baada ya kipa wanaodaiwa kumtaka Washington Arubi kutoka Marumo Gallants kusaini timu nyingine. Arubi alionyesha kiwango cha juu wakati…
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amevunja ukimya juu ya matumizi ya winga Bernard Morrison akisema Mghana huyo hana pumzi ya kutosha kucheza muda mrefu uwanjani.…
Daktari Mkuu wa Simba, Edwin Kagabo ameshusha presha kwa mashabiki wa timu hiyo kuhusiana na hali ya kipa, Aishi Manula aliyeko nchini Afrika Kusini kwa ajili…
Mshambuliaji kinda wa Azam FC, Abdul Sopu amesema kwa sasa wao kama wachezaji wanafanya maandalizi ya kumaliza msimu kwa kushinda mechi zilizosalia huku akimweka kiporo kipa…
Ligi ya Mabingwa wa CAF inakaribia kuboreshwa huku wapinzani wa kawaida wakipigania utawala. Al Ahly na Wydad wapambane tena kwa taji, wakati huu katika fainali ya…
Mchezaji wa Young Africans, Feisal Salum anayejulikana kwa jina la ‘Feitoto’, ameelezea “madhara na matusi” kuwa baadhi ya sababu zilizomfanya atamani kuvunja mkataba na klabu ya…
Msimu wa kwanza wa Ronaldo nchini Saudi Arabia ulifikia tamati Jumatano iliyopita, ingawa mshambuliaji huyo nyota hakuwepo wakati Al-Nassr iliposhinda Al-Fateh 3-0 na kumaliza nafasi ya…