Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Lionel Messi amethibitisha kuwa atahamia Inter Miami CF katika makubaliano ambayo yanaripotiwa kuwa na chaguo kwa Margentina huyo kuwa mmiliki sehemu ya klabu ya MLS. Kumekuwa…
Nahodha wa West Ham, Declan Rice, ameonyesha furaha yake kubwa baada ya kushinda taji la Europa Conference League… na kusisitiza kuwa yeye bado hajafanya uamuzi wa…
West Ham wameishinda Fiorentina 2-1 na kutwaa ubingwa wa Europa Conference League; Jarrod Bowen alifunga bao la ushindi katika dakika ya 90 ushindi huo unahakikisha taji…
Wakati Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2022/23 ikifikia mwisho Ijumaa ya Juni 9, 2023, Mdhamini Mkuu wa ligi hiyo, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)…
Bodi ya Ligi Kuu imetengaza mechi zote za mwisho kumalizia msimu Juni 9 zitachezwa saa 9:30 alasiri badala ya saa 10:00 jioni. Katika taarifa waliyotoa, wamesema…
Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya imeanza mazungumzo na beki wa Simba, Joash Onyango kwa ajili ya msimu ujao. Beki huyo raia wa Kenya licha…
Baada ya kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza kumsogelea kwa ufungaji mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 na yeye 15, uongozi wa Simba umetoa neno.…
YAWEZEKANA kabla ya jua kuzama leo Jumatano Juni 7, Feisal Salum ‘Fei Toto’ atatambulishwa rasmi ndani ya Azam. Licha ya Azam kufanya siri, lakini tetesi zinasema…
Jack Butland ameondokaa rasmi na Manchester United baada ya kukamilisha mkataba na Rangers ya Scotland. Butland alijiunga na Manchester United kwa mkopo kutoka Crystal Palace mwezi…
Barcelona imekuwa na siku chache zenye mafanikio. Baada ya kuthibitisha kuwa LaLiga imeidhinisha mpango wao wa kustahiki, ambao umefungua njia ya kumsajili Lionel Messi, sasa wamepokea…