Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Chelsea ‘The Blues’ wamelenga kumsajili kiungo hatari wa Celta Vigo, Gabri Veiga, na huenda wakamuuza Kai Havertz baada ya kupata taarifa kuwa mshambuliaji Mjerumani anataka kuondoka,…
Tetesi za usajili. Chelsea wamepokea msukumo katika harakati zao za kumsaka kipa wa Inter Milan, Andre Onana, ambapo washindi wa Ligi ya Mabingwa walipanga kufanya harakati…
Manchester City wamefanikiwa kushinda Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Inter Istanbul. Mabadiliko ya Pep Guardiola katika ulinzi wa…
Vigogo wa Azam Hawajamaliza! Saa chache baada ya kumalizana na Yanga na kumbeba, kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ iliyompa mkataba wa miaka mitatu, klabu ya Azam…
Kama mashabiki wa Simba walikuwa wakijiandaa kumuona Kiungo fundi wa kupiga mashuti makali, Sospeter Bajana kutoka Azam FC, basi pole yao kwani, mabosi wa Chamazi wameamua…
Klabu inaposajili mchezaji inakuwa na malengo ya kufaidika na huduma yake, bahati mbaya wengi wao wanashindwa kutimiza kusudi wakikabiliwa na changamoto kama majeraha na kukosa ushindani…
Kocha Mkuu wa Simba SC Robert Oliveira ‘Robertinho’ ametamba kwamba endapo Simba itafanya usajili ambao amezungumza na mabosi wake Kuna uwezekano mkubwa wekundu hao wakampiga mtu…
Inter Milan itafungua mazungumzo na Chelsea baada ya fainali ya Ligi ya Mabingwa kujadili mustakabali wa Romelu Lukaku, ambaye anatarajiwa kurejea Stamford Bridge mwishoni mwa mwezi…
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema almanusura azimie baada ya wapinzani wao USM Alger kupata penalti katika fainali ya pili, hapo hapo anafanya maamuzi magumu…
Real Madrid wafanya mazungumzo kuhusu uhamisho wa Kai Havertz msimu wa kiangazi Real Madrid wamefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea, Kai Havertz, kuhusu uwezekano…