Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Ilipoishia ” Watu wote walipiga kelele huku wakifunga macho! Wasiamini tukio linaloenda kutokea! Ilisikika sauti ya break lakini kwa pembeni kuliruka damu Hadi kwenye gari! Kisha…
Ilipoishia ” Muda huo Mama Rich alifika pale alitaka kumkumbatia Gorii amuage, lakini Gorii alimgeuzia mgongo hii ikamuumiza Sana! Alijua tayari chuki aliyoisababisha mwanae Sasa imehamia…
Ilipoishia ” Jolvin alimwangalia, mtu anaeshukuru na anaeomba msamaha kampea mgongo! ” Gorii mtoto mwenye heshima, anae nidhamu, anaheshimu watu wadogo kwa wakubwa! Hii kuongea amekupea…
Iipoishia ” Alifungua mlango Kisha akarudi kitandani, alimsikia Jolvin akimwelezea Doctor. “” Ni tumbo la ghafra tu! Limemkamata ameteseka kweli! Nimemkuta kitandani akiweweseka kwa maumivu! Fanya…
Ilipoishia ” Gorii hakuelewa baada ya kuona watu hawana furaha, aliwaona hata watoto wakiume wakipikicha macho yao! Ishara kunae huzuni inayowatoa machozi na yeye alianza kulia,…
Nchi ya Ujerumani ni mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Ulaya 2024 (Euro 2024), takribani miaka 18 imepita tangu Ujerumani kuandaa Kombe la Dunia, ambalo Italia…
Ilipoishia “Alisimama huku akielekea chumbani Kwake! Muda huo alikuwa amefura hasira! Lakini Esau ni mtu mkubwa alielewa kipi kinamsumbua mdogo Wake, aliwaza namna ya kumsaidia japo…
Ilipoishia ” Bibi hata usihangaike kujua kipi wanachokihitaji, Wewe kubali Mimi nikakae mbali na hii familia ya Mishoki, uone Kama Anelisa ataendelea kuleta michezo ya kijinga!…
Ratiba za Ligi Kuu ya Uingereza za msimu wa 2024/25 zimetolewa na tarehe za mechi zote 380 ziko hapa chini. Mechi za mwishoni mwa wiki na…
UEFA EURO ni moja ya michuano mikubwa sana barani Ulaya inayohusisha timu za taifa ambayo inafanyika kila baada ya miaka minne (4), michuano hii ina historia…