Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Stori Mpya
Sasa baada ya kumalizika kwa msimu huu wa Ligi Kuu Ubelgiji, kocha wa KRC Genk, Wouter Vrancken ameripotiwa kushikilia hatma ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana…
Ligi Kuu ya Premier League itatangaza ratiba ya msimu wa 2023/24 Alhamisi hii, huku mabingwa Manchester City wakijua dhidi ya nani wataanza kutetea ubingwa wao. Baada…
Katika hatua nyingine, wakati uongozi wa Simba SC ukikuna kichwa kwa Banda na Sawadogo, habari kutokana ndani ya kikosi hicho kinasema kuwa, Simba ipo kwenye mipango…
Mabosi wa klabu ya Azam FC hawalali kwa mipango ya kusuka jeshi jipya la msimu ujao na sasa inakaribia kumleta beki wa kushoto wa timu ya Taifa ya…
Mwanasoka wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard, inasemekana kuwa atateuliwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Saudi Arabia, Al Ettifaq. Steven Gerrard ameupokea “kwa furaha” uongozi…
Arsenal wapo karibu kukubaliana na West Ham kuhusu ada ya Declan Rice na inatarajiwa watatoa zaidi ya pauni milioni 100 kwa kiungo huyo ikiwa malipo ya…
Kylian Mbappe atoa taarifa rasmi ya kutokuongeza mkataba mpya majira ya joto. Alijiunga na Paris Saint-Germain kutoka Monaco kwa mkopo mwaka 2017, kabla ya kuhamia kwa…
Tuzo za TFF ni Moto..! Ligi kuu Tanzania bara (NBC Premier League) ikiwa imefikia ukingoni Juni 12, 2023 kwa kumalizika Mechi ya fainali ya Azam Sports…
Simba SC Imenoga! Ipo kwenye hatua za mwisho kabisa kukamilisha usajili wa mfungaji bora wa Ligi Kuu Rwanda, Leandre Essomba Willy Onana. Straika huyo wa Rayon…
Mkataba wa Mason Mount na Chelsea unamalizika Juni 2024. Yeye ni mmoja kati ya viungo kadhaa ambao Manchester United wanamtazama. Mazungumzo yanaendelea kati ya vilabu hivyo…