Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Odds za Moto
Katika jiji la Roma hii leo kwenye uwanja wa Olimpico klabu ya AS Roma inawakaribisha Cremonese katika michuano ya Copa Italia ambapo mshindi katika mchezo huo…
Baada ya kuuwasha vilivyo mwaka 2023 na kushikilia nafasi ya 2 mpaka hivi sasa katika msimamo wa La Liga klabu ya Girona wana kibarua cha kumkaribisha…
Baada ya kumaliza mwaka 2013 wakiwa kileleni kabisa mwa msimamo wa La Liga , Real Madrid wanarejea tena dimbani kuvaana na Mallorca mchezo utakaopigwa katika uwanja…
Kama ulikua hujui basi nikutaarifu kuwa Getafe dhidi ya Rayo Vallecano ni mechi inayowahusisha watani wa jadi kutoka Kusini mwa jiji la Madrid na mechi hii…
Hatua ya 8 bora kombe la Copa Italia inaendelea kwa AC Milan kuwakaribisha Cagliari katika dimba la Santiago Bernabeu kusaka hatua ya nusu fainali la kombe…
Katika dimba la London lenye uwezo wa kuingiza mashabiki takribani elfu sitini na mbili n amia tano (62500) ndipo ambapo mchezo kati ya Westham dhidi ya…
Kwa kuanza kabisa tuutazame mchezo unaowakutanisha Liverpool vs Newcastle utakaopigwa katika dimba la Anfield katika jiji la Liverpool. Huu ni moja kati ya mchezo ambao bila…
Hii leo katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza Tottenham Hotspur atakua na kibarua dhidi ya Bournemouth mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Tottenham. Mchezo huu unawakutanisha…
Karibu sana tutazame uchambuzi na vidokezo vya ubashiri katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza hii leo utakaowakutanisha Fulham dhidi ya Arsenal mchezo utakaopigwa katika dimba…
Serie A inarejea tena wiki hii na seti nyingine ya mechi huku Genoa vs Inter Milan katika mechi muhimu itakayofanyika kwenye Uwanja wa Stadio Luigi Ferraris.…