Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Odds za Moto
Middlesbrough vs Chelsea Utabiri katika Uwanja wa Riverside katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Carabao Cup siku ya Jumanne. Wenyeji waliweza kujipatia nafasi yao kwenye…
Estoril Praia vs Porto kwenye Uwanja wa Estadio António Coimbra da Mota katika raundi ya 16 ya Taca de Portugal. Wenyeji walipata nafasi yao katika raundi…
Wigan Athletic vs Manchester United, Timu ya League One ya Wigan Athletic itajaribu kufanya vizuri wanapowakaribisha Manchester United kwenye uwanja wa DW Stadium. Wigan Athletic wanaweza…
Baada ya kuchukua ubingwa wa dunia ngazi ya vilabu klabu ya Man City walirejea na ushindi ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Everton na Sheff Utd…
Wakiwa nyumbani msimu huu klabu ya Arsenal katika mechi 5 za mwisho wamepoteza mchezo mmoja pekee dhidi ya West Ham kwa mabao 2:0 huku wakishinda michezo…
Wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Stamford Bridge klabu ya Chelsea wanakutana na Preston katika mchezo wa 32 bora kombe la FA. Chelsea wanaingia katika…
Baada ya kutoka sare mchezo uliopita dhidi ya Genoa hii leo Inter Millan wanarejea katika uwanja wa San Sirro kukipiga dhidi ya Verona katika mchezo wa…
Hatua ya 32 bora kombe la FA inaendelea hii leo nchini Uingereza ambapo Crystal Palace anamkaribisha Everton katika mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Selhurst Park katika…
Wakiwa katika uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan klabu ya Sevilla hii leo wana kibarua kigumu cha kukutana na Athletic Bilbao katika mchezo wa ligi kuu ya…
Ligi kuu ya nchini Hispania inaendelea tena leo kwa Las Palmas akimkaribisha Barcelona katika mchezo unaotarajiwa kupigwa majira ya saa 5 za usiku kwa masaa ya…