Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Ligi kuu ya NBC imefikia mzunguko wa 22 ikiwa ni raundi ya pili ya msimu huu 2023/2024 msimu ambao umekuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia viwanja,…
Kwako Mo Dewji Natumai barua hii inakufikia wewe na familia yako katika afya njema na ustawi wa kiroho na kimwili. Napenda kutumia fursa hii kuelezea mawazo…
Kocha mkuu wa wekundu wa msimbazi yaani klabu ya Simba Abdelhak Benchikha ni miongoni mwa makocha wenye CV kubwa barani Afrika lakini pia na uzoefu ukichangiwa…
Wakati Simba ikiianza wiki ya Dabi ya Kariakoo kinyonge baada ya sare ya 1-1 na Ihefu katika mechi ya jana, watani wao Yanga wameongeza mzuka baada…
Skudu Makudubela ni miongoni mwa wachezaji ambao wanapata wakati mgumu kupenya kwenye Kikosi cha kwanza cha Miguel Angel Gamondi kwa sababu kocha huyu ukimtazama lakini pia…
Yanga imewachukua muda mrefu Sana kupata mlinda mlango mzuri na mwenye ubora mkubwa Sana kama ilivyo Kwa huyu mlinda mlango wao wa Sasa Djigui Diarra. Wamepita…
Habari Mhariri, Nikiwa na afya njema kabisa na amani ya moyo, Napenda barua hii iwafikie viongozi wa klabu ya Simba maana kinachoendelea ndani ya uongozi matokeo…
Kilichofanywa na mchezaji Fiston Mayele ichukuliwe kama funzo kwa sajili zingine. Nafiriki viongozi wa Yanga SC hawakuwahi kujifunza juu ya baadhi ya nyota ambao hua wanawasajili…
Utulivu ndani ya klabu ni timu kutwaa mataji kama hilo likikosekana lazima mchafuko utokee tu na ndio hicho ambacho kinawatafuna klabu ya Simba kwa sasa. Mo…
Kuna watu walizungumza mengi baada ya Nasredine Nabi kuachana na Yanga na kwenda kutafuta malisho mema zaidi. Kuna watu walijua mwisho wa Yanga kutamba umefika. Ni…