Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Kombe la Mapinduzi, maarufu kama Mapinduzi Zanzibar Cup, ni mashindano ya kandanda yanayofanyika kila mwaka huko Zanzibar, Tanzania. Mashindano haya yanaitwa kwa jina la neno la…
Hii ni orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania (Stars) kwenye mashindano ya AFCON imetoka huku baadhi ya wachezaji ambao walikuwemo kwenye orodha…
Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abbullah ameupogeza uongozi wa Klabu ya Simba kwa kuamua kutangaza Utalii wa Zanzibar kupitia michuano ya…
Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya…
Ujio wa mchezaji Augustine Okrah katika kikosi cha Yanga unaelezwa unahitimisha maisha ya beki wa kati kutoka Uganda, Gift Fred ambaye tangu asajiliwe hajapata nafasi ya…
Klabu ya soka ya Azam wameufunga mwaka rasmi kwa kutangaza kufikia makubaliano na klabu ya El Mereikh kwa ajili ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa…
Ligi Kuu ya NBC imesimama kwa takribani wiki tatu kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza leo Visiwani Zanzibar. Wakati Ligi ikiwa imesimama tayari klabu ya…
Mchezo wa Kitayosce vs Young Africans utakuwa ugenini kwa Young Africans katika Uwanja wa Jamhuri (Dodoma) katika Ligi Kuu Bara ya Tanzania. Mchezo huu utaanza saa…
Ligi ya NBC inaendelea leo, Katika mechi za hivi karibuni kati ya Kinondoni MC vs Simba SC, timu hizi zimecheza jumla ya mechi 10. Kinondoni MC…
Klabu ya soka ya Kagera Sugar kutoka mkoani Kagera imetangaza rasmi kuachana na Kocha Mkuu Meck Maxime pamoja na kocha wa viungo Francis Mkanula. Kupitia taarifa…