Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Ligi Kuu | Soka la Bongo
Ukizungumzia klabu kubwa za mpira wa miguu zinazopatikana katika Ligi Kuu Tanzania bara huwezi kuacha kuwataja matajiri wa jiji la Dar Es Salaam kutoka Mbande hukooo…
Ukiuzungumzia mpira wa miguu Tanzania basi huwezi kuacha kulitaja Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais wake Wallace Karia ambaye anaingia katika orodha ya marais…
Wakati Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said anamchukua Ibrahim Bacca kutoka katika klabu ya KMKM ya Zanzibar bila shaka hakuna aliyemuelewa anafanya nini na…
Ligi ya Tanzania Bara maarufu kama (NBC Premier League) imekua ikishuhudia mambo mengi makubwa yanayozidi kuipatia umaarufu na ushindani mkubwa bila kusahau mapenzi makubwa kutoka kwa…
Klabu ya Simba ni mojawapo ya vilabu vikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mchakato wa kubadilisha muundo…
Mawakala wa soka nchini Tanzania wana jukumu kubwa katika kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji, kusimamia mikataba, na kushiriki katika mchakato wa kuleta mafanikio katika soka…
Kuna wakati unaweza kujiuliza hivi mashabiki wanataka nini?Maana kila mmoja huwa na kauli zake endapo kutakua ni kipindi kuhusu jambo Fulani. Ukitazama kwasasa macho na masikio…
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na idadi kubwa ya wachezaji ambao wamekua wakijitokeza na kusema kuwa wana asili ya Tanzania na hivyo kuomba uraia ili…
Nitakuwa tofauti na wengi wanavyoweza kufikiri kwenye hili na hii ni kutokana na kila mtu anavyoweza kutazama haswa kuhusiana na safari ya Jean Baleke na klabu…
Hamu na shauku kubwa ambayo watanzania wengi walikua nayo katika michuano ya mataifa barani Afrika bila shaka ilikua kuitazama timu yao yaani Taifa Stars ambao walikua…