Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Hadithi
Ilipoishia “Kwahiyo umeanza kua na huruma si ndiyo? Basi hakuna sababu ya kujificha, jitokeze hadharani ujitangaze kua Bilionea mwenye Mtoto Mlemavu, si una shida sana ya…
Ilipoishia “Asante Yesu” Mikono yake ikiwa juu, Mchungaji akaja na kumwinua “Matilda, kanisa linakuhitaji useme neno” Mchungaji George alimsogeza Matilda hadi Madhabauni, akampa kipaza sauti. Aseme…
Ilipoishia “James!! tumepima DNA na majibu unayajua kua Patra ni Mtoto wako, kwanini damu yako unaiacha iteseke kisa ulemavu?” alisema Matilda, alipigwa kofi hadi waliokua karibu …
Ilipoishia “James una hakika kuwa hii ni Mimba yako?” Lilikua ni swali aliloulizwa James, walikuwa chemba na Mama yake wakimuacha Neema akiwa sebleni “Ndiyo Mama kwanini…
“Ahsante Mama Naomi” Ilikuwa ni sauti yenye upole, Matilda alikuwa akimwambia Mama Naomi huku chozi likimlenga “Usijali Mdogo wangu Maisha ndivyo yalivyo, ni wajibu wangu kukusaidia”…
Ilipoishia “Benjamin yuko nje anatusubiria” kabla hata hajamaliza kusema alichokua amekikusudia, zikasikika buti mlangoni, kisha Sauti ya risasi ikasikika, damu ikamwagika ikapenya chini ya Mlango. Malkia…
Ilipoishia “Benjamin akamsogelea Malkia Zandawe na kumtuliza kwa kumshika bega, hata yule rubani wa Helkopta ya Kijeshi aliona wazi kua Binti huyo alikua akizungumza kwa hisia…
Ilipoishia “Muhonzi akafanikiwa kukata kamba alivyofungwa, giza lilikua nene ndani ya Chumba alichohifadhiwa, akajaribu kuchungulia dirishani kwa mtindo wa kuruka sababu dirisha lilikua juu sana lakini…
Ilipoishia “Sijapata kumwona Mwanadamu Mbishi na Mgumu kama huyu” aliutupa mkono wake uliojaa damu kwa hasira sana kisha akarudi kuketi kitini akitafakari ni namna gani afanye…
Ilipoishia “Mfukuzano ulikua mkali kwa hatua kadhaa, kisha ghafla yule Mwanaume alisimama, aligeuka kisha aliliweka lile Brifkesi chini, akatabasamu na kumwambia Elizabeth “Najua umekuja kwa ajili…