Browsing: Hadithi

Mungu Amenisahau

Ilipoishia “Haraka nikiwa nimevalia pensi na tisheti nilielekea huko,  kweli niliona Kijiwe cha Watu watatu hivi ambao baada ya  kuniona Mimi walikaa tayari, nilitoa ishara ya…

Mungu Amenisahau

Ilipoishia “Sikujuwa hata mtandio wangu niliudondoshea wapi, nilikuwa  kama Chizi maana wakati nalia nilitimua sana nywele zangu.  Nilikaa hapo kama Bubu, niliwaza sana hadi kichwa kiliacha …

Mungu Amenisahau

Ilipoishia “Japo mambo yale yalikuwa mageni kwangu na yenye kuniumiza ila  yalinifundisha vitu vingi sana ambavyo hata kama ningesoma  hadi ngazi ya digrii nisingeliweza kujifunza. Usingizi …

Mungu Amenisahau

Ilipoishia “Najuwa unaumia Jojo ila utazoea tu sababu hata Mimi nilikuwa  kama wewe siku ya kwanza naanza kazi, nilikuwa mnyonge,  sikuzoea kuvaa hivi ila ilinibidi nikubali…

Mungu Amenisahau

Ilipoishia “Tulienda moja kwa moja anapoishi Shonaa akaniambia kesho yake  atanipeleka kwa huyo Bosi, nilikuwa nimechoka hivyo sikuwa na  maswali mengi zaidi ya kuhitaji Kupumzika tu,…

Mungu Amenisahau

Chozi lilikuwa likinimwagika, nilikuwa nikimuaga Mama yangu  kwa mara ya Mwisho Mkoani Tabora.  “Mama! Umeniacha Mama yangu, nimebaki mwenyewe” Nilisema kwa  sauti iliyowaumiza wengi, alikuja Mama…

Pigo Takatifu

Ilipoishia “Mama umemyoosha sana”  “Ndiyo dawa yake, mwache tu. Hawezi kufanya chochote kile  sababu anajua una ujauzito wake, atakapo kuja kufunguka  kiakili utakua umemaliza kila kitu,…

Pigo Takatifu

Ilipoishia “Muda huo Magari mawili yalikua yakiingia Hospitalini hapo kwa  kupishana dakika tano, aliyekua wa kwanza kuingia alikua ni  James, alipotoka tu kwa Chilo aliona ni…

Pigo Takatifu

Ilipoishia “James, ni wazi bado unampenda Matilda, ni wazi kua ipo siku  utakuja kunitelekeza na Mimba yangu kitu ambacho sipo tayari  kitokee” akasema Neema akiwa anamsogelea…

Pigo Takatifu

Ilipoishia “Fanya haraka” Akaelekezwa mahali ambapo angemwona Matilda,  japo dakika mbili zisingetoshea kuzungumza naye ila alihitaji  kumwona na kupata uhakika kua ana Mtoto na Bosi wake, …