Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Hadithi
Ilipoishia “Sikia Dokta Simon, naomba hili jambo liwe siri Baina yetu. Baba yangu asijuwe chochote wakati ambao tunatafuta Figo kwa ajili ya kunipandikiza” Alisema Osman “Naweza…
Ilipoishia “Usijali Jacklin nipo kwa ajili yako mara zote” alisema Mosses na kunifanya nitabasamu kwa uchovu, shughuli ilikuwa pevu na vile nimetoka kuumwa basi nilichoka sana…
Ilipoishia “Alipotoka Hospitalini Osman alikuwa mwenye mawazo na maumivu makali sana, alipigiwa simu na Wazazi wake na kumtaka aachane na mpango wa kutaka kutoa figo kwani…
Ilipoishia “Yaani Mama kisa tu ana hela basi umechanganikiwa kiasi hicho, kweli umasikini mbaya sana Mama, ila usijali siku siyo nyingi nitaanza kazi nitakufanyia kila kitu,…
Ilipoishia “Jacklin Mwanangu sijapata pesa kama unaweza kusubiria hadi jioni sawa” Alisema Mama “Usijali Mama nitarudi tu” Nilisema, sikuwa na pesa ya nauli ya kurudia nyumbani…
Mvua ilikuwa ikinyesha, moyo wangu ulijawa na tabasamu kubwa sana, nilijinyoosha ili kuianza siku mpya ambayo ilianza kwa hali ya hewa kuwa nzuri yenye ubaridi. Niliposhika…
Ilipoishia “Tulirudi kule kwenye ghorofa la Tancot House ambapo ndiyo tulilala usiku uliopita, Nilijaribu nguo zote ikapatikana moja tu ambayo ilionekana kuwa nzuri sana na yenye …
Ilipoishia “Sikia Jojo, ukiishi kwa kuhitaji huruma ya wengine utaishia kuishi Maisha ya hovyo sana. Lengo la kukutoa mle ni kutaka kufanya na wewe baadhi ya…
Ilipoishia “Basi Maisha ndani ya Gereza yaliendelea, siku moja baada ya kazi ilikuwa ni majira ya saa 7 Mchana, ulikuwa ni muda wa kupata Chakula. Tulikuwa…
Ilipoishia “Ingia kwenye gari” ilikuwa kama ndoto vile, nilifungua mlango wa gari ili niingie kwenye gari. Kabla hata sijaingia nilihisi uzito kwenye mgongo wangu alafu nilipata…