Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Hadithi
Ilipoishia “Desmond wewe ni Mzuri sana, Hakika Mke wako anajivunia kuwa na Mwanaume kama Wewe” Alisema Lucia kisha Desmond alitabasamu kidogo alafu hakusema chochote kile hadi…
Usiku mmoja, Mwanaume mmoja alikuwa akitoka Hospitalini, alionekana kwenda hapo kwa ajili ya kumuona Mtu mmoja aliyemfahamu sana tena alikuwa Mtu wa karibu sana kwake. Mwanaume…
Ilipoishia “Scola nijibu alikuja Mgeni si ndiyo?” Nilimuuliza tena baada ya kuona alikuwa hanipi jibu “Lakini Dada..” alisema Scola, nikahisi kuna jambo “Sitaki cha lakini nataka…
Ilipoishia “Kwanza pole sana Jacklin, Dunia yako imekugeuka lakini ndivyo ilivyo sababu siyo Watu wote wanakuwa na simulizi tamu za Maisha yao, yako chungu sana. Osman…
Ilipoishia “Lakini Mosses mbona hukuniambia kama unafungua Biashara? Unafikiria ndani ya huo mwezi Mimi na Mama tutakuwa tunaishi wapi?” Nilimuuliza Mosses “Sasa Jacklin unafikiria pesa inahifadhiwa…
Ilipoishia “Umenisaliti eeh?” Aliuliza Mosses kama kawaida yake alikuwa na tabia ya wivu sana “Siwezi kukusaliti Mosses, unanijuwa vizuri. Sina ujanja kwako” nilisema lakini bila kumaanisha…
Ilipoishia “Lakini sikushauri kabisa kwenda huko Mzee Kwasasa yupo Macho angalau anajisikia vizuri mgesubiria kidogo basi” alisema Dokta Simon “Mimi ni Baba yake Osman, najuwa nini…
Ilipoishia “Ndiyo! Unapaswa kukubali kuolewa na Osman ili apone na afanyiwe upasuaji wa kupandikiza figo” Mama alirudia kauli yake, akili yangu ilihama na kumuwaza Mosses, maneno …
Ilipoishia “Unaweza ukapata figo, ukapata kila kitu lakini huwezi kuuondoa mfadhahiko alionao Mwanao. Kitu cha kwanza ni kumuondolea mfadhahiko Osman ili kumuandaa kwa ajili ya upasuaji…
Ilipoishia “Yote yaliyo mema, mazuri na yenye uelekeo mzuri zaidi, muda siyo mrefu maono yangu yatadhihirika” Sikutaka kuendelea kumuuliza, nilimwambia “Sawa Mama nasubiria hayo Mema, nipo…