Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Kaka Mkubwa
Ilipoishia ” Aaah! Mamangu hawezi kuiba pesa nyingi vile! Kwanza hanaga hiyo tabia! Ndio umemtengenezea kesi Mama’ngu! Ni kwakuwa hunipendi Mimi ee? Kwakuwa ni Mama nitaenda…
Ilipoishia ” Jolvin alimwangalia Joely Huku akimpatia ishara ampake dawa make yeye ashaanza kumuonea huruma kwa ile dawa ni Kali sana, ilikuwa ni ” iodine solution”…
Ilipoishia Alimsogelea Karibu Kisha alimnong’oneza sikioni. “” Ukinigusa Mimi ndio umegusa familia nzima ya Mishoki! Kwahiyo kuwa makini!” Hammad alisogea nyuma kidogo Kisha aliwapatia Ishara wenzake…
Ilipoishia ” Goryanah ilibidi amsine mguuni kwanza Kisha walianza kurushiana majani wakikimbizana, lakini kwa bahati mbaya wakati Gorii” anarusha yalimuangukia Jolvin kichwani na mengine usoni. Jolvin…
Ilipoishia ” Wakati wakiwa jikoni wadada wa kazi wote walishadadia Gorii” apeleke kinywaji kwanza kwani wote wanamuogopa Jolvin, muda wote ni kusodoa, wakati mama anaita Goriii…
Ilipoishia ” Baada ya kumaliza maongezi walirudi sebuleni, Gorii” alitembezwa nyumba nzima ajue mazingira pia alipatiwa chumba chake kwaaajili ya mapumnziko. Mwisho kabisa walikaa mezani wapate…
Ilipoishia “Ilikuwa ni sauti ya Baba iliyomfanya asimame kwani ilikuwa Kama inamfokea, aligeuka ili amjibu lakini alikumbuka Kuna Maneno alikuwa akimwambia mamake. “Hupaswi kuzungumza na…
Ilipoishia ” Mudy baada ya kumfikia ilibidi asimame nyuma yake make alikuwa amenuna. Goryanah ndio anageuka huku akipaza sauti, ndipo anakutana na Mudy uso kwa uso…
Utangulizi: Katika dunia hii kila mtu amekuwa akiuchukia umaskini, na familia zisizokuwa na uwezo nazo zimekuwa zikifedheheshwa na watu matajiri wakiamini katika jamii hawana mchango wowote!…
Ilipoishia “Waliomba sana, kuna wakati mimi nilihisi kuchoka lakini wao waliendelea tu hadi moyoni nikasema kweli ni watu wa Mungu. Ghafla nilianza kuona moshi mweusi ukitoka…