Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imepokea taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya kuufungia uwanja wa Uhuru kutotumiwa katika michezo inayoendelea…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeahirisha michezo saba ya Ligi Kuu ya NBC ili kupisha mchezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)…
BAADA ya kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uliochezwa Desemba 20, Medeama ya Ghana…
Baada mahakama ya usuluhishi barani Ulaya kuja na taarifa kuhusu European Super League ni michuano halali hivyo inaweza kuendelea kama ilivyopangwa klabu mbalimbali zimetoka hadharani kupinga…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Uhuru , Dar Es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na…
Wakati wa kuandaa mkeka mara nyingi baadhi ya watu hushindwa kuelewa kati ya Over 1.5 na Over 2 na hujikuta wakiweka ubashiri bila ya kuelewa wanachagua…
Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Norway ‘Eliteserien’, Amahl Pellegrino anayekipiga Bodo/Glimt ni miongoni mwa wachezaji 53 walioitwa na Kocha Adel Amrouche katika kikosi cha awali cha…
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wa klabu umewasimamisha wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chota Chama kutokana na vitendo vya Utovu wa nidhamu.…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa Ali Hasan Mwinyi ulioko Tabora kutumika katika mechi za ligi baada ya kukidhi vigezo vya kikanuni…
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imeanza rasmi huku mabingwa watetezi, JKT Queens na washindani wao wa karibu, Simba Queens wakianza kwa kugawa dozi nzito. Timu…