Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Adel Amrouche hii leo ametangaza kikosi cha wachezaji 30 watakaojiunga na kambi ya maandalizi ya AFCON…
Zikiwa zimebakia wiki kadhaa kwa ajili ya michuano ya AFCON itakayofanyika nchini Ivory Coast tayari zipo baadhi ya nchi ambazo zimekwishataja vikosi vya wachezaji 22 watakaoenda…
Kwa kuanza kabisa tuutazame mchezo unaowakutanisha Liverpool vs Newcastle utakaopigwa katika dimba la Anfield katika jiji la Liverpool. Huu ni moja kati ya mchezo ambao bila…
Klabu ya soka ya Azam wameufunga mwaka rasmi kwa kutangaza kufikia makubaliano na klabu ya El Mereikh kwa ajili ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa…
Hii leo katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza Tottenham Hotspur atakua na kibarua dhidi ya Bournemouth mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Tottenham. Mchezo huu unawakutanisha…
Karibu sana tutazame uchambuzi na vidokezo vya ubashiri katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza hii leo utakaowakutanisha Fulham dhidi ya Arsenal mchezo utakaopigwa katika dimba…
Ligi Kuu ya NBC imesimama kwa takribani wiki tatu kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza leo Visiwani Zanzibar. Wakati Ligi ikiwa imesimama tayari klabu ya…
Kila mtu ana namna yake ya kuweka mkeka wake wa uhakika lakini hii leo tutazame option ambazo zitakupa pesa chap kwenye mkeka wako lakini kumbuka kuwa…
Karibu sana tutazame utabiri wa Mkeka Wa AFCON kutoka Kijiweni ambao tumekuandalia kutoka katika mechi mbalimbali zitakazoanza na hapa tutakuwekea mechi za ushindi wa moja kwa…
Klabu ya soka ya Kagera Sugar kutoka mkoani Kagera imetangaza rasmi kuachana na Kocha Mkuu Meck Maxime pamoja na kocha wa viungo Francis Mkanula. Kupitia taarifa…