Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Hii ni orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania (Stars) kwenye mashindano ya AFCON imetoka huku baadhi ya wachezaji ambao walikuwemo kwenye orodha…
Wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Stamford Bridge klabu ya Chelsea wanakutana na Preston katika mchezo wa 32 bora kombe la FA. Chelsea wanaingia katika…
Baada ya kutoka sare mchezo uliopita dhidi ya Genoa hii leo Inter Millan wanarejea katika uwanja wa San Sirro kukipiga dhidi ya Verona katika mchezo wa…
Moja kati ya vitu vinavyovutia kwenye mpira wa miguu ni pamoja na majina ya utani ambayo wachezaji hupewa na mashabiki wa soka lakini pia na majina…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza ongezeko la asilimia 40 la pesa kwa mshindi wa Kombe la Mataifa ya Afrika la TotalEnergies (Afcon) Ivory…
Ni takribani wiki moja sasa imebakia kabla michuano ya AFCON haijaanza kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali nchini Ivory Coast ambapo itaanza kuchezwa Januari 13 mpaka Februari…
Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abbullah ameupogeza uongozi wa Klabu ya Simba kwa kuamua kutangaza Utalii wa Zanzibar kupitia michuano ya…
Rais wa Klabu ya Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya…
Hatua ya 32 bora kombe la FA inaendelea hii leo nchini Uingereza ambapo Crystal Palace anamkaribisha Everton katika mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Selhurst Park katika…
Wakiwa katika uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan klabu ya Sevilla hii leo wana kibarua kigumu cha kukutana na Athletic Bilbao katika mchezo wa ligi kuu ya…