Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Michuano ya AFCON 2023 inaendelea kushika kasi na hii leo kuna michezo kadhaa ambayo itachezwa na bila shaka wawekezaji wako makini kabisa kuandaa mikeka yao ya…
Hatua ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuipa haki Tanzania kuwa moja ya nchi tatu zitakazoandaa fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka 2027 (AFCON 2027)…
Katika mchezo ambao Zambia walikuwa pungufu kwa zaidi ya dakika 45 alafu wanapataje sare katika mchezo huu? Hapa nadhani Tanzania mechi wameitupa wenyewe kwani timu ilikuwa…
Ligi Kuu ya Italia, inayojulikana kama Serie A ni moja kati ya ligi ambayo imekua katika zile ligi kuu 10 bora zinazofuatiliwa duniani na kuwa na…
Katika hatua inayotia moyo kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania ni Taifa Stars kumteua kaimu kocha mkuu mpya Hemed Morocco ambaye ni Mtanzania akisaidiana na Juma…
Golikipa bora kwa sasa katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara yaani NBC Premier League Djigui Diarra ambaye anakipiga katika klabu ya Yanga ameendelea kumuaminisha kocha mkuu…
Wakati joto la michuano ya mataia barani Afrika likizidi kupanda huku baadhi ya mataifa yakiwa yamefuzu hatua ya 16 bora, Timu ya Taifa ya Mauritania inaungana…
Mwaka 2018 ni miaka 6 imepita wakati Tanzania tunacheza mechi za kufuzu AFCON 2019 ambapo tuliwahi kumfunga Cape Verde goli 2 bila hapa nyumbani katika dimba…
Ukitazama timu nyingi katika michuano ya Mataifa barani Afrika mwaka huu inayofanyikia nchini Ivory Coast kuna vijana weni sana ambao wanawatumia katika baadhi ya mechi zao…
Baada ya Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF kumfungia kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche mechi 8 kwa…