Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Tunaianza wikiendi mapema na mkeka wa leo ijumaa ijumaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 200 na timu 11 kutoka ligi mbalimbali duniani ikiwemo ligi kuu…
Wakati kila mmoja akiwa na hamu kubwa ya kuutazama mchezo mkubwa kabisa wa ligi kuu Tanzania Bara ambao unazikutanisha timu kutoka katika jiji la Dar Es…
Kwa wawekezaji wa mikeka na wale ambao wanafahamika kama maafisa ubashiri bila shaka kawaida wapo ambao hutamani kujua ni ligi gani ambazo katika mechi moja huwa…
Ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga kuvuna alama 3 lakini haitakuwa rahisi kwao kwa sababu Mashujaa pia wanahitaji alama 3 ili kutoka chini ya Msimamo wa…
Wawekezaji mko poa? Karibu sana tuutazame mkeka wa leo wenye odds chache tu ambazo ni 36 wenye timu mbalimbali kutoka ligi kubwa duniani bila kusahau…
Nusu fainali ya pili ya michuano ya mataifa barani Afrika ya kumtafuta yule anaekwenda fainali ya michuano hii mikubwa zaidi ya mpira wa miguu ngazi ya…
Baada ya mapumziko ya siku kadhaa ni wazi sasa macho na masikio ya wengi ni kuhusiana na michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) ambapo kuanzia hatua…
Hatua ya nusu fainali ya kombe la mataifa barani Afrika inaanza hii leo ambapo mchezo wa kwanza utawakutanisha Nigeria dhidi ya Afrika Kusini katika mchezo utakaochezwa…
Jumatano si ndio hii? Karibu sana tuutazame mkeka wa leo wenye odds zaidi ya 200 wenye timu mbalimbali kutoka ligi kubwa duniani bila kusahau zile mechi…
Mchezo mzima ukiutazama wa ligi kuu hii leo ni wazi tu kwamba kuanzia kipindi cha kwanza ulikua ni wa upande mmoja huku Simba wakitaka kutuma salamu…