Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Mhariri
Wengi mmejikuta mnaangalia hatma ya Yanga kwa kuangalia tu mechi mbili za Yanga dhidi ya CR Belouizdad na ile ya mwisho dhidi ya Al Ahly. Hakuna…
Mwanzo ilionekana kama Asec dhidi ya Simba ni mechi ya kawaida na haitakuwa ngumu kiasi hicho kwa sababu tayari Asec Mimosa ameshafuzu hatua ya Robo fainali…
Karibu sana kwenye mkeka wa leo Ijumaa kutoka Kijiweni ambapo tunainza wikiendi na timu hizi kutoka ligi mbalimmbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa…
Fantasy Premier League (FPL) ni mchezo wa mtandaoni ambao huwa ni bure kabisa kujiunga na kuutumia ambapo unapata nafasi ya kusajili na kutengeneza timu yako kwa…
Kwa Tanzania utakua ni mchezo ambao utafuatiliwa kwa kina kabisa kwa mashabiki wa Simba lakini pia na wapenda mpira kutoka hapa nchini mchezo wa makundi ligi…
Karibu sana kwenye mkeka wa leo wenye timu 8 zikiwemo zile za ligi ya Europa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa…
Katika kila timu moja kati ya nafasi ambayo mara nyingi huwa inazingatiwa sana katika kikosi ni pamoja na nafasi ya mlinda lango au unaweza kusema golikipa…
Kwa wawekezaji au unaweza kuwaita maafisa ubashiri mara nyingi hukumbana na kadhia ya mikeka kuchanika kutokana na kutofuatilia takwimu za timu wanazowekea ubashiri lakini pia na…
Jumatano si ndo hii? Karibu sana kwenye mkeka wa leo ambao una mechi za mapema kabisa Pamoja na zile za ligi ya mabingwa Ulaya. Kumbuka kuupitia…
Wakati wengi wakiwa na mawazo na maswali mengi kuhusu mchezo kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad ambao utaamua hatma kubwa sana kwa klabu ya Wananchi…